Notifications
Clear all
0
16/06/2024 12:14 am
Topic starter
ngeli ya ki vi
4 Answers
0
16/06/2024 9:00 am
- Kikombe (umoja) vikombe (wingi)
- Kisima (umoja) visima (wingi)
- Chuo (umoja) vyuo (wingi)
- Kijiti (umoja) vijiti (wingi)
- Kibao (umoja) vibao (wingi)
0
16/06/2024 9:27 am
Mfano
Kitabu-Vitabu
Kitovu-vitovu
Kibiriti-Vibiriti
Kifunguo-Vifunguo
Kisima-Visima
0
16/06/2024 9:48 am
Mifano zaidi ni:
- kijitu-vijitu
- kigombe-vigombe
- kiguu-viguu
- kidovu-vidovu
- kisu-visu
- kitabu-vitabu
- chakula-vyakula
- chanda-vyanda
0
16/06/2024 10:18 am
Majina ya lugha mbalimbali.
Kama vile;
Kiswahili
Kiingereza
Kiajemi
Kijerumani
Kihausa