Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Ni ushauri gani bora wa uhusiano unaoweza kumpa mtu?

   RSS

0
Topic starter

Ushauri wa uhusiano unaoweza kumpa mtu ni?

4 Answers
0

Usikimbilie kuingia katika ndoa: Unahitaji kuchukua muda mwingi wa kumjua huyo mtu mwingine kabla ya kufunga naye ndoa. Jiulize kama unaweza kuishi na mtu huyo kwa miaka yako iliyopakia.

0
Topic starter

Mtu akikukataa, endelea na maisha yako.

0
  • Usipatikane sana kila wakati kwa uhusiano. Wakati mwingine acha kutokuwepo kwako kumfanya ahisi kukukosa.
  • Ikiwa unataka kuondokana kwa uhusiano, futa kumbukumbu zote, choma zawadi zote, na ufute picha zote.
  • Usipiga kelele, kubishana au kumdharau mwenzako mbele ya watu wengine.
  • Epuka kuingilia kupita kiasi katika maisha yake ya kibinafsi.
  • Kuwa mwaminifu na kujitolea kwa kila mmoja.
  • Tumia wakati mwingi pamoja kila siku.
0

Ushauri bora wa uhusiano niliopokea ulikuwa kuwasiliana kwa uwazi na kuwa na uaminifu katika uhusinao, kuhakikisha kuheshimiana na kuelewana katika mabo mengi.