Notifications
Clear all

Unadhani kwanini mahusiano mengi yanafeli?

   RSS

0
Topic starter

Kwa nini mahusiano hayadumu


4 Answers
0

Kukosa kwa

  • Mawasiliano
  • Uaminifu
  • Heshima
  • Kutumia muda mwingi pamoja

0
Topic starter

Wakati wanandoa hawana maisha yao wenyewe uhusiano unaweza feli. Ukimtegemea mwenzio sana unakuwa a burden na husababisha changamoto.


0

Uhusiano hufeli mnapopoteza msingi wa uhusiano – uaminifu.


0

Mahusiano mengi hufeli kutokana na mawasiliano duni, ukosefu wa uaminifu, na matarajio yasiyofikiwa. Mawasiliano yenye ufanisi na kuheshimiana ni muhimu kwa kudumisha uhusiano mzuri.