Category: Learn Swahili
Sehemu hii inahusu maana ya maneno ya Kiswahili na kujifunza kuhusu Lugha ya Kiswahili.
Kinyume cha neno mtumwa
Kinyume cha mtumwa ni: Mfalme, bwana, mwajiri, mnyapara, bosi, nk. Read more
Kinyume cha neno mrembo
Kinyume cha mrembo ni mtanashati au matindija kulingana na muktadha wa kinyume unacho lenga. Read more
Kinyume cha kusanya
Kinyume cha kusanya ni tawanya au sambaza. Read more
Kinyume cha neno karimu
Kinyume cha karimu ni choyo, bahili, banifu, nk.. Read more
Kinyume cha neno fika
Kinyume cha fika ni ondoka, toka, -enda. Read more
Kinyume cha neno ficha
Kinyume cha ficha ni: fichua, funua, futua. Read more
Kinyume cha neno bidii
Kinyume cha bidii ni uvivu, uzembe, ulegevu, ubwete, ukunguni, utepetevu, ajizi, nk. Read more
Kinyume cha neno choma
Kinyume cha choma (penyeza kitu chenye ncha) ni chomoa au toa. Read more
Kinyume cha neno vaa
Kinyume cha vaa ni vua. Read more
Kinyume cha neno haba
Kinyume cha haba ni: tele au -ingi (kama vile; mingi, nyingi, n.k.) Read more