Category: Learn Swahili

Sehemu hii inahusu maana ya maneno ya Kiswahili na kujifunza kuhusu Lugha ya Kiswahili.

  • Kibali in English

    Neno kibali in English linaweza kutafsiriwa kama: 1. Permit – officially allow (someone) to do something. – (kuruhusu rasmi (mtu) kufanya jambo fulani.) 2. License – authorize the use, performance, or release of (something). – (kuidhinisha matumizi, utendakazi, au kutolewa kwa (kitu).) Read more

  • Malaya in English

    Neno malaya in English ni prostitute. Ufafanuzi wa prostitute in English ni: “a person, in particular a woman, who engages in sexual activity for payment.” Read more

  • Vidonda vya tumbo vinaitwaje in English?

    ,

    “Vidonda vya tumbo” in English could translate to either ulcers or gastritis, depending on the context. Read more

  • Sururu in English

    Tafsiri ya kawaida ya neno sururu ni: pick, pickaxe, or mattock. Ufafanuzi wa tafsiri hii katika Kiingerenza ni: “A pickaxe, pick-axe, or pick is a generally T-shaped hand tool used for prying. Its head is typically metal, attached perpendicularly to a longer handle, traditionally made of wood and occasionally metal.” Read more

  • Swala in English

    1. Swala ni ibada katika dini ya KIislamu iliyo ya lazima kwa Mwislamu kama mojawapo ya nguzo tano za Uislamu. 2. Swala ni mnyama mwitu anayefanana na mbuzi. 3. Swala pia ni jambo lolote linalohitaji kujadiliwa na kupatiwa ufumbuzi. Read more

  • Kuku in English

    Kuku in English

    1. Chicken: Hii ndiyo tafsiri ya kawaida ya neno “kuku”. 2. Hen: Katika mazingira mengine, “kuku” pia inaweza kurejelea kuku wa kike haswa. Read more

  • Zambarau in English

    Zambarau in English linaweza kutafsiriwa kama Jambul. Zambarau in English is also known as purple color. Read more

  • Kokoto in English

    Kokoto in English

    Kokoto in English is ballast. Maana yake kwa Kiingereza ni ‘stones or gravel used for building and construction. Read more

  • Mkurugenzi in English

    Neno mkurugenzi linaweza kutafsiriwa kwa Kiingereza kama director. Ufafanuzi wa director in English ni: 1. “a person who is in charge of an activity, department, or organization.” Read more

  • Ukoko in English

    Ukoko in English

    Ukoko ni masalia ya chakula kilichopikwa na kuganda kwenye chombo cha kupikia chakula hicho, kama vile ukoko wa ugali. Read more