Category: Learn Swahili
Sehemu hii inahusu maana ya maneno ya Kiswahili na kujifunza kuhusu Lugha ya Kiswahili.
Maana ya neno adhiri na English translation
Maana ya neno adhiri Matamshi: /aðiri/ (Kitenzi si elekezi) Maana: pia aziri tia mtu aibu hadharani au mbele ya watu. Mnyambuliko wake ni: →adhiria, adhiriana, adhirika, adhirisha, adhiriwa. Adhiri Katika Kiingereza (English translation) Adhiri katika Kiingereza ni: criticize, defame, embarass, or degrade. Read more
Kinyume cha neno kimbia
Kinyume cha kimbi ni tembea, simama, kawia. Read more
Kinyume cha neno pana
Kinyume cha pana ni -embamba (k.v: nyembamba.) Read more
Kinyume cha neno pakia
Kinyume cha pakia ni pakua. Read more
Kinyume cha neno chimba
Hapa ni vinyume vha chimba kulingana na muktadha unaokusudia: Kinyume cha chimba (fukua ardhi) ni fukia, funika. Read more
Kinyume cha neno binti
Kinyume cha binti ni mvulana au ghulamu. Read more
Kinyume cha neno ziba
Kinyume cha ziba ni zibua. Read more
Kinyume cha neno kwea
Kinyume cha kwea ni shuka au teremka. Read more
Kinyume cha utajiri/ukwasi
Kinyume cha utajiri au ukwasi ni: umaskini, ufukara, ukata, uchochole, nk. Read more
Kinyume cha neno tuma
Kinyume chake ni zuia, komesha, achisha, simamisha nk. Read more